BBC News, Swahili – Habari
Habari Kuu

Marco Rubio: Kufunguliwa kwa Hormuz ni hatua ya kwanza kuelekea mazungumzo na Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa kufunguliwa kwa mlango bahari Hormuz ni sharti la kwanza kwa mazungumzo na Iran, lakini pekee yake haitoshi kuondolewa kwa vikwazo vya kiuchumi.

Visa sita vipya vya ugonjwa wa Ebola vyathibitishwa Uganda

Je, ni klabu gani zilizo na wachezaji wengi zaidi kwenye Kombe la Dunia 2026?
Kuna timu 17 ambazo zina wachezaji 10 au zaidi kwenye Kombe la Dunia ambao walicheza mpira wa vilabu mara ya mwisho, ambapo watano kati yao ni wa Uingereza.
2 Juni 2026

Tetesi za soka Jumanne: Barca, Real Madrid macho kwa Cucurella

Timu 4 zinazoshiriki kombe la dunia kwa mara ya kwanza
DRC na Haiti zinarudi kwenye mashindano haya baada ya miaka 52, Iraq ikirejea baada ya miaka 40, lakini kuna timu nne zitagusa nyasi za kombe la dunia kwa mara ya kwanza tangu zizaliwe.
2 Juni 2026

Magonjwa 7 hatari zaidi kuwahi kutokea duniani
Ebola ni mojawapo ya magonjwa ambayo husababisha viwango vya juu ya vifo kwa wale wanaopatikana na ugonjwa huo.
2 Juni 2026

Marekani yaonya raia wake dhidi ya kusafiri kwenda Kenya
Ubalozi ulibainisha kuwa maandamano nchini Kenya mara nyingi huambatana na uwepo mkubwa wa polisi, jambo ambalo linaweza kusababisha usumbufu barabarani na kuongezeka kwa wasiwasi wa usalama.

AFCON U-17: Tanzania kuandika historia leo?
Fainali ya Tanzania vs Senegal inakuja katika kipindi ambacho taifa bado linaendelea kutafakari na kuponya majeraha yaliyoachwa na matukio ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
2 Juni 2026

Ruto atetea kituo cha Ebola kilichoombwa na Marekani kujengwa Kenya
Rais Ruto alithibitisha kwamba aliidhinisha mrada huo binafsi baada ya ombi kutoka kwa Rais Donald Trump, akiutaja kama sehemu ya ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili.

Bowen: Trump anataka vita viishe lakini Iran haitaki kurudi nyuma
Marekani na Iran zote zimeashiria kwamba hazingependelea kurejea kwenye vita ambavyo vimesitishwa tangu kutangazwa kwa usitishaji mapigano tarehe 8 Aprili
2 Juni 2026

Hizi ndizo nchi 10 zenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika kwa mwaka 2026
Takwimu hizo hutumiwa mara nyingi ama kama ushahidi wa maendeleo ya bara au kama ukumbusho kuwa Afrika bado ina safari ndefu kiuchumi.
2 Juni 2026

Iran na Marekani zinapopigana, kwa nini mshindi awe Erdogan?
Siku tisa tu baada ya vita vya Marekani na Iran kuanza, alianzisha tena kesi ya Ekrem Imamoglu, meya wa mji wa Instanbul, ambaye amekuwa mpinzani mkuu wa Erdogan.
1 Juni 2026
Sikiza / Tazama
Huwezi kusikiliza tena
02:06 Video, Osman Sonko: Waziri Mkuu aliyetimuliwa awa Spika wa Senegal, Muda 2,06
02:19 Video, Marekani yamuwekea vikwazo Faustine Mafwele, Muda 2,19
01:54 Video, ”Nilivyoambiwa nina tatizo la figo nilivurugwa”, Muda 1,54
02:23 Video, Kwanini baadhi ya wanawake wanaota ndevu?, Muda 2,23
02:30 Video, Nisingeambiwa ‘nakupenda’ ningekuwa na jicho langu, Muda 2,30
02:25 Video, Hizi hapa nchi 10 zinazoongoza kwa kuagiza silaha, Muda 2,25
03:09 Video, Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026, Muda 3,09
02:14 Video, Je, unajua hata wewe unaweza kuwa mmoja ya wana anga wa Nasa?, Muda 2,14
02:27 Video, Waridi wa BBC: Muundaji maudhui aelezea safari ngumu aliyopitia katika kupunguza uzito, Muda 2,27
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Fungua ukurasa wa maandishi pekee

Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
1 Juni 2026

Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni ‘vigogo’ 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
26 Mei 2026

Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na hatua zao za baadaye.
29 Mei 2026

WARIDI WA BBC: ‘Nilitokwa na haja ndogo bila kukoma kwa miaka minne’
Shirika la afya ya uzazi la Umoja wa Mataifa – UNFPA na Wakfu wa Fistula wanakadiria kuwa visa vipya vya fistula 1,000 hadi 3,000 hutokea nchini Kenya kila mwaka.
27 Mei 2026

Rare Earth: Je, madini haya yataleta maajabu Tanzania?
Madini muhimu ya Rare Earth Elements, yanaundwa na kundi la kemikali 17 zenye sifa za kipekee, na ni muhimu katika teknolojia mbalimbali za kisasa.
27 Mei 2026

Ni sarafu gani zilifaidika na vita vya Iran na zipi zilitetereka?
Wakati vita vya Marekani na Israel na Iran vilipoanza mwishoni mwa Februari, haikuwa Mashariki ya Kati pekee iliyohisi matokeo.
30 Mei 2026

Ni nani anayelinda meli eneo la Ghuba na Bahari ya Shamu?
Je, ni miungano gani maarufu zaidi ya kijeshi kwa sasa inayolinda usafiri wa baharini katika eneo la Mashariki ya Kati?
21 Mei 2026

Kiongozi wa ISIS aliyelengwa na Marekani kaskazini mashariki mwa Nigeria
Rais wa Nigeria Bola Tinubu alithibitisha tarehe 16 Mei kifo cha afisa mkuu wa Islamic State (IS), Abu Bilal al-Manuki (au al-Mainuki), wakati wa operesheni ya pamoja ya kijeshi na Marekani.
20 Mei 2026

Ebola ni nini na kwa nini kuzuia mlipuko huu ni vigumu sana?
Mlipuko wa Ebola katika Democratic Republic of the Congo unahusisha aina adimu ya virusi na unatokea katika eneo lililoathiriwa na migogoro.
19 Mei 2026

J-10C Fighters: Nini kinazifanya ndege hizi za kivita kuwa hatari zaidi?
Moja ya sababu kubwa zinazofanya J-10C kupewa hadhi ya ndege hatari ni uwezo wake wa kushambulia adui kabla hata ya kuonekana kwenye rada za kawaida.
18 Mei 2026

Mzozo wa Iran: Kwanini Trump anatishia kuishambulia Oman?
Kauli ya Trump inasemekana kuwashangaza waangalizi wa eneo hilo kwa sababu Oman kwa muda mrefu imekuwa ikizingatiwa kuwa mmoja ya washirika wa karibu wa Marekani katika eneo la Ghuba.
28 Mei 2026

CHADEMA vs Msajili, vita vya panzi au mgogoro wa mfumo?
Kwa takribani miaka kadhaa sasa, uhusiano kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa CHADEMA, umekuwa ukichukua sura ya mvutano wa mara kwa mara.
18 Mei 2026
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp

Kombe la Dunia halitakuwa kama ulivyozoea, kuna sheria 7 mpya
1 Juni 2026
1:30
Video, Tazama: Polisi walivyokabiliana na mashabiki wa PSG jijini Paris, Muda 1,30
31 Mei 2026

Tofauti ya dakika 7,000 – kwa nini PSG wanaweza kuwa na makali dhidi ya Arsenal
30 Mei 2026

Je, ni wachezaji gani matajiri zaidi wa soka duniani?
29 Mei 2026

Kutafuna chakula vizuri kunaimarisha ubongo wako – Utafiti
31 Mei 2026

Mfamasia wa Uingereza alivyovumbua jinsi moto unavyowashwa
29 Mei 2026

Fahamu mpango wa NASA unaojumuisha hatua tatu katika vituo vya mwezi
28 Mei 2026

Kwa nini maambukizi ya kaswende na kisonono yamefikia viwango vya juu barani Ulaya?
22 Mei 2026

Rosana Kathure: “Ningejua anayenioa atanikata jicho, nisingeolewa”
1 Juni 2026

WARIDI WA BBC: ‘Nina sehemu mbili za uke’
20 Mei 2026

Waridi wa BBC: Mariam na safari ya kufua nguo kusaka $15,000 kupandikizwa figo
13 Mei 2026

Farhia Elmy: Kutoka ndoto ya udaktari hadi malkia wa bahari
6 Mei 2026
Vipindi vya Redio
Listen Next, MBELE Amka Na BBC, 05:59, 3 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
29:30
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 2 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
1:00:00
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 2 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
29:30
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 2 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
29:30
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Zinazovuma zaidi
- 1AFCON U-17: Tanzania kuandika historia leo?
- 2Marco Rubio: Kufunguliwa kwa Hormuz ni hatua ya kwanza kuelekea mazungumzo na Iran
- 3Dawa 6 zinazopunguza nguvu za kiume na hutumiwa sanaImeboreshwa mwisho: 22 Julai 2022
- 4Timu 4 zinazoshiriki kombe la dunia kwa mara ya kwanza
- 5Je, ni klabu gani zilizo na wachezaji wengi zaidi kwenye Kombe la Dunia 2026?
- 6Hizi ndizo nchi 10 zenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika kwa mwaka 2026
- 7Je ni kweli kwamba kufika kilele sio lengo kuu katika tendo la ndoa?Imeboreshwa mwisho: 17 Septemba 2021
- 8Magonjwa 7 hatari zaidi kuwahi kutokea duniani
- 9Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
- 10Bowen: Trump anataka vita viishe lakini Iran haitaki kurudi nyuma





















